DOA LA NDOA
Sam Darfur
Ndoa inatengenezwa na wivu ambao unatokana na mapenzi ya dhati, endapo wivu ukikosekana basi mapen,i ya dhati yatapungua na huenda yasipatikane mazima.
Ndoa nyingi zinavunjika kila siku kwa kukosa wivu wa kimapenzi lakini wivu huu ni kama chumvi katika chakula hakikisha hauzidishi.
Catégories:
Volume:
One
Année:
2021
Edition:
One
Editeur::
Simulizi Huru Media
Langue:
swahili
Pages:
500
Collection:
DOA LA NDOA
Fichier:
PDF, 2.20 MB
IPFS:
,
swahili, 2021